Harvest Point
Limited ni kampuni iliyosajiliwa na BRELA kwa namba 140-420-751 inayopatikana
salasala Dar Es Salaam, Shughuli kuu za kampuni ni kutengeneza chakula cha kuku
wa mayai kuanzia chakula cha vifaranga mpaka chakula cha kuku wakubwa, kutoa huduma
za madakatari bure na kuwasaidia masoko ya mayai wafugaji wanaotumia chakula
chetu.