Chakula cha Vifaranga (Wiki 0-6)
Chakula cha Vifaranga (Starter Marsh 0-6 weeks)
Harvest Point
Limited ni kampuni iliyosajiliwa na BRELA kwa namba 140-420-751 inayopatikana
salasala Dar Es Salaam, Shughuli kuu za kampuni ni kutengeneza chakula cha kuku
wa mayai kuanzia chakula cha vifaranga mpaka chakula cha kuku wakubwa, kutoa huduma
za madakatari bure na kuwasaidia masoko ya mayai wafugaji wanaotumia chakula
chetu.
Tumekuwa wadau wakubwa katika kuhakikisha wafugaji wanapata mafanikio bora katika ufugaji kwa kutoa huduma na elimu yakutosha katika shighuli zao za ufugaji
Get a quote10 Winning Awards
1230 Satisfied Clients
360 Best Projects
15+Years Served
Ni muhimu kuzingatia ubora wa chakula cha kuku kabla ya kununua na kulisha. Tupo kwajili ya kukuhudumia.
pumba za mahindi, pumba laini za mpunga, pumba laini za ngano, mtama, chenga za mahindi, chenga za mchele, uwele, ulezi, muhogo, viazi vitamu na magimbi.
Mashudu ya alizeti, mawese, karanga, soya, korosho, ufuta, Damu ya wanyama iliyokaushwa, Mabaki ya samaki, dagaa au nyama.
madini ya chokaa (kalsiamu) na fosiforasi
Harvest Point inatoa Huduma bora na za uhakika kwa wateja wake na jamii kwa ujumla. Huduma hizi zikihusisha elimu ya ufugaji kuku kibiashara, vitu vinavyohusika kwenye ufugaji wa kuku, kuwaunganisha wateja wetu na masoko ya mazao ya ufugaji wa kuku,