Chakula hiki ndo
msingi wa kuku wako, chakula chetu kina virutubisho vyote vinavyowafanya kuku
kutimiza uzito unaotakiwa kila mwisho wa wiki. Kuku wakipewa chakula ambacho
hawawezi kufikisha uzito unaotakiwa kila wiki inapoisha basi kuku hao
watachelewa kutaga na kumuingiza hasara Zaidi mfugaji. Dakatari wetu atafika
shambani kwa mfugaji kila wiki inapoisha kupima uzito na kumpa mfugaji taarifa
ya uzito wa kuku.