Chakula cha kuku wa juu (Layers Marsh 19-end week)

Chakula hiki kina virutubisho vyote bora vinavyofanya kuku kutaga kiwango cha juu, kuku kutaga katika kiwango cha juu kwa muda mrefu (prolonged peak performance) na kuendelea kupata matokea mazuri hata mpaka baada ya wiki ya 90.