Masoko kwa wafugaji wa kuku wa mayai

Harvest point limited inayo masoko ya kuuza mayai yote ya wafugaji, inavyo vituo vya usambazaji (distribution centre) kwa Dar Es Salaam na mikataba kadhaa na mahoteli kwa ajili ya kuwauzia mayai. Wafugaji hulipwa pesa za mayai kabla mzigo haujachukuliwa. Huduma hii inatolewa kwa wafugaji  wanaotumia vyakula vya Harvest Point ltd