Chakula cha kuku wa kati juu (Developer 13-19 weeks)

Chakula hiki ni mahususi kwa ajili ya kumuandaa kuku kuanza kutaga, Faida kuu za chakula hiki ni kuku watatimiza gram 1500 wiki ya 17 na hivyo kuwafanya kuku kuanza kutaga wiki ya 18.