Chakula cha kuku wa kati chini (Grower Mash 7-12 weeks)

Chakula hiki kinawasaidia kuku kutoka hatua ya ufaranga kwenda hatua ya juu Zaidi. Chakula hiki pia kinahakikisha uzito wa kuku na umri vinaendana kila week inapoisha.